Rais Samia kufanya ziara ya kikazi Msumbiji
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuondoka nchini leo Juni 24, 2025, kuelekea Maputo, Jamhuri ya Msumbiji kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. Katika ziara hiyo, Rais Samia atakuwa mgeni…
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuondoka nchini leo Juni 24, 2025, kuelekea Maputo, Jamhuri ya Msumbiji kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. Katika ziara hiyo, Rais Samia atakuwa mgeni…
Waendesha mashtaka wa Kenya wametangaza jana Jumatatu kufungua mashtaka dhidi ya watu sita, wakiwemo maafisa watatu wa polisi, kwa mauaji ya Albert Ojwang. Ojwang mwenye umri wa miaka 31, alifikwa…
Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), imepanga kutekeleza ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kutoka Mlandizi hadi Ruvu kwenye Stesheni ya SGR kwa awamu, ambapo mkataba wa ujenzi…
Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko makubwa ya uongozi serikalini kwa kuwahamisha na kuwateua viongozi mbalimbali wa mikoa, wilaya, wizara na taasisi za umma. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Katika harakati za kuboresha afya ya Watanzania kwa kutumia njia mbadala zisizo na madhara, kampuni ya Norland imeendelea kuleta mapinduzi kupitia virutubisho vyake vya…
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka waganga wa tiba asili kuacha kupiga ramli chonganishi ili kuifanya Tanzania ivuke salama kwenye uchaguzi mkuu ujao wa Oktoba 2025. Amewataka waganga hao kula…
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amepewa heshima na hadhi ya kuwa Mtemi wa Sungusungu, jeshi la jadi,…
Wawakilishi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na Rwanda wametia saini nakala ya awali ya mkataba wa amani baina ya nchi hizo mbili mjini Washington. Hayo yameelezwa kwenye taarifa ya…
Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani imeidhinisha sindano ya kampuni ya Gilead Sciences- Lenacapavir, kudungwa mara mbili kwa mwaka katika kuzuia Virusi Vya Ukimwi (VVU) vinavyosababisha ugonjwa wa UKIMWI…
NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), kupitia Mamlaka yake ya Uwekezaji (ZIPA), imeishukuru, kuipongeza kuitunukia Cheti Maalum Benki ya NMB kwa ‘kulibeba mabegani’ kwa udhamini mnono…